NINAHITAJI TIN NUMBER

ILI KUPATA TIN NUMBER YAKO ANDAA VITU VIFUATAVYO



Namba ya NIDA

Namba ya Simu uliyosajili kwa kutumia alama ya vidole vyako


UTAMBULISHO

  • Majina Matatu ya Mama Mzazi(kama yalivyo andikwa wakati wa kusajili NIDA)

NB: usibadilishe herufi kwa mfano: ESTA siyo sawa na ESTHER, FLORA siyo sawa na FULORA. Andika jina kama lilivyoandikwa wakati unajiandikisha.

  • Shule ya Msingi uliyomaliza, na mwaka wa kumaliza hiyo shule ya msingi


MAKAZI

Unataka kufanyia Shughuli(au biashara) yako wapi?

  • Mkoa
  • Wilaya
  • Kata
  • Kijiji/Mtaa



BONYEZA HAPA KUOMBA TIN NUMBER

Comments