Posts

Showing posts from July, 2023

NINAHITAJI TIN NUMBER

Image
ILI KUPATA TIN NUMBER YAKO ANDAA VITU VIFUATAVYO Namba ya NIDA Namba ya Simu uliyosajili kwa kutumia alama ya vidole vyako UTAMBULISHO Majina Matatu ya Mama Mzazi(kama yalivyo andikwa wakati wa kusajili NIDA) NB: usibadilishe herufi kwa mfano: ESTA siyo sawa na ESTHER, FLORA siyo sawa na FULORA. Andika jina kama lilivyoandikwa wakati unajiandikisha. Shule ya Msingi uliyomaliza, na mwaka wa kumaliza hiyo shule ya msingi MAKAZI Unataka kufanyia Shughuli(au biashara) yako wapi? Mkoa Wilaya Kata Kijiji/Mtaa BONYEZA HAPA KUOMBA TIN NUMBER